Baadhi ya watu hutumia mbinu zisizo halali ili kuvutia wateja katika biashara zao, kuna muda baadhi ya mbinu hizo huongeza vitu vyenye madhara kwa bidhaa zao ambazo wanauza. Ndicho alikuwa anafanya mfanyabiashara wa vyakula katika ya mji ambaye alinaswa akiongeza dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya viagra na bangi kwenye uji wake. Mfanyabiashara […]….. SOMA ZAIDI