
Nsindo ambaye ni mdau wa michezo, amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kata Buyuni, jijini Dar es SalaamΒ leo.
DirishaΒ la utoajia wa fomu Kwa wanachama ndani ya CCM kuomba kuteuliwa kugombea nafasi za ubunge na udiwani lilifunguliww Juni 28 na litafungwa kesho, huku akishuhudiwa idadi kubwa ya wanachama kujitokeza.
Β