Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Biashara ya Afrika (Afreximbank), Dkt. George Elombi Doue, katika Hotel ya Spice Island Resort, jijini St. George’s, Grenada Julai 30.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifanya mazungumzo na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Biashara ya Afrika (Afreximbank), Dkt. George Elombi Doue pamoja na ujumbe wake, katika Hotel ya Spice Island Resort, jijini St. George’s, Grenada Julai 30.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Biashara ya Afrika (Afreximbank), Dkt. George Elombi Doue, katika Hotel ya Spice Island Resort, jijini St. George’s, Grenada Julai 30.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mteule na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Biashara ya Afrika (Afreximbank), Dkt. George Elombi Doue pamoja na ujumbe wake, katika Hotel ya Spice Island Resort, jijini St. George’s, Grenada Julai 30.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)