Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akikabidhiwa Kifimbo cha Mfalme wa Uingereza kuelekea Mashindano ya Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Glasgow Uingereza mwaka 2026. Makabidhiano hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Agosti 2025. Anayekabidhi ni Mwanamichezo wa mchezo wa ngumi Bondia Kassim Mbundwike.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha Kifimbo cha Mfalme wa Uingereza kuelekea Mashindano ya Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Glasgow Uingereza mwaka 2026 mara baada ya kukabidhiwa Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Viongozi na Wanamichezo mbalimbali mara baada ya kukabidhiwa Kifimbo cha Mfalme wa Uingereza kuelekea Mashindano ya Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Glasgow Uingereza mwaka 2026, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali pamoja na wanamichezo mara baada ya kukabidhiwa Kifimbo cha Mfalme wa Uingereza kuelekea Mashindano ya Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Glasgow Uingereza mwaka 2026, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wanamichezo wanawake mara baada ya kukabidhiwa Kifimbo cha Mfalme wa Uingereza kuelekea Mashindano ya Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Glasgow Uingereza mwaka 2026, Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi Mwanamichezo wa mchezo wa ngumi Bondia Kassim Mbundwike Kifimbo cha Mfalme wa Uingereza kuelekea Mashindano ya Michezo ya Jumuiya ya Madola itakayofanyika Glasgow Uingereza mwaka 2026 ili kiweze kuelekea nchini Ghana. Makabidhiano hayo yamefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Agosti 2025.