Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na walimu na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Wasichana ya Lucas Malia iliyopo Ruangwa mkoani Lindi, wakati wa hafla ya kuwapongeza wanafunzi wa kidato cha sita waliofanya vizuri katika mitihani ya kitaifa iliyofanyika mwaka 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi Halima Seif mwanafunzi aliyemaliza Shule ya Sekondari ya Wasichana Lucas Maria na kupata daraja la kwanza (Div 1, point 6) ya mchepuo wa Sayansi (PCM), wakati wa hafla ya kuwapongeza wanafunzi wa kidato cha sita waliofanya vizuri katika mitihani ya kitaifa iliyofanyika mwaka 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)