Wakazi wa kijiji cha Kinyamaseke kilichopo mkoani Kigoma, Jumatatu, Agosti 4, 2025, walipata taswira ya nadra sana kushuhudiwa katika maisha ya kawaida, baada ya tukio la kushangaza kuwafanya watu kusimama barabarani, wengine wakipiga video na wengine wakishindwa hata kuamini macho yao. Kisa kilianza mapema asubuhi baada ya wanakijiji kuona mzinga wa nyuki ukishuka kutoka mti….. SOMA ZAIDI