WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Dini na Wananchi katika kuitikia dua, ikisomwa baada ya kumalizika kwa Dua maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025 na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kaabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Alhajj Dkt. Haroun Ali Suleiman na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Hassan Othman Ngwali.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa na Dua Maalumu ya kuiombea Nchi Amani na Viongozi Wakuu wa Serikali, iliyofanyika katika Masjid Shaafi Mbuyu Mnene Wilaya Magharibi “B” Unguja leo 15-8-2025.(Picha na Ikulu)