
Je unajua kuwa siku ya leo ni siku ya ushindi kwako wewe mteja wa Meridianbet?. Kama hujajua basi hii ndio taarifa nakupatia sasa, suka jamvi lako lenye mechi uzipendazo na uweke dau lako hapa.
Meridianbet inakuambia kuwa mechi za kufuzu Ligi ya mabingwa yaani UEFA bado zinaendelea kwani Glasgow Rangers atakuwa kibaruani kupepetana dhidi ya Club Brugge ambao mara ya mwisho kukutana ilikuwa Julai 6 kwenye mechi ya kirafiki ambayo walitoa sare. Je leo hii kwa ODDS ya 2.85 kwa 2.40 nani ataibuka bingwa?. Tandika jamvi hapa.
Pia naye Ferencvarosi Budapest ataumana dhidi ya Qarabag FK ambao nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet wamepewa ODDS 3.80 kwa 1.87 huku kila timu ikihitaji ushindi siku ya leo. Bashiri mechi hii sasa.
FK Crvena Zvezda atakipiga dhidi ya Pafos FC huku takwimu zikionesha kuwa wawili hawa hawajawahi kukutana hivyo leo hii ni mara yao ya kwanza. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.67 kwa 5.40. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye timu hizi mbili?. Suka jamvi hapa.
Pesa za uhakika zipo hapa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Kule Hispania, LALIGA nayo kitawaka vilivyo ambapo Real Madrid watakuwa Santiago Bernabeu kukiwasha dhidi ya CA Osasuna ambao kushinda mechi hii ya leo wamepewa ODDS 13 kwa 1.23. Hii ni mechi ya kwanza ya msimu kwa timu zote mbili huku nafasi kubwa akipewa Alonso na vijana wake. Je Xabi ataanzaje ligi akiwa katika dimba la nyumbani?. Tandika jamvi hapa.
Saa 9:00 jioni kutakuwa na mtanange mkali wa SUPER CUP kule Saudi Arabia kati ya Al Nassr Club dhidi ya Al-Ittihad ambao ni mabingwa wa ligi hiyo. Takwimu zinaonesha kuwa kina Ronaldo na wenzake mara ya mwisho kukutana na timu ya kina Benzema, walipoteza hivyo leo hii wanataka kulipa kisasi na kuchukua kombe hili. Je nani kuondoka na ushindi wa leo?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.75 kwa 3.85. Bashiri hapa.
Uingereza, LEAGUE ONE nayo itaendelea kwa michezo kadhaa ambapo Luton Town atakuwa kibaruani kukiwasha dhidi ya Wigan Athletic. Wote wametoka kushinda mechi zao mbili za kwanza za ligi wakiwa na pointi 6. Mara ya kukutana ilikuwa walipokuwa Championship na leo hii ni ligi chini yake. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.63 kwa 5.60.
Mechi nyingine ni hii ya Port Vale dhidi ya Stevenage FC huku tofauti yao ikiwa ni 7 pekee. Mwenyeji ana piinti 2 pekee kwenye mechi 3 ambazo amecheza huku mgeni wake akiwa na pointi 9 baada ya kushinda mechi zote na pia ndie kinara wa ligi hiyo. Je mwenyeji anaweza kuambulia ushindi siku ya leo?. Tandika jamvi mechi hii yenye ODDS 2.48 kwa 2.90.
Pia Plymouth Argyle nae ataumana vikali dhidi ya Leyton Orient London ambao leo hii pale Meridianbet kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.45 kwa 2.75. Mwenyeji yeye anataka kuendeleza ushindi wake kwa mgeni wake baada ya mechi ya mwisho walipokutana kushinda. Je mgeni anaweza kulipa kisasi akiwa ugenini siku ya leo?. Jisajili hapa.
Kwa upande wa Wycombe Wanderers wao watakuwa wakikipiga dhidi ya Exeter ambao kwenye mechi 3 walizocheza wamefanikiwa kukusanya pointi 3 pekee. Wakati wenyeji yeye ameweza kukusanya pointi pointi 1 pekee, hivyo hii vita ni kali sana kila timu inataka ushindi leo. Nani unampa pesa yako aondoke na mkwanja wa maana?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.64 kwa 4.90.
AFC Wimbledon atamleta kwake Cardiff City ambao ndio wanapewa nafasi kubwa na wakali wa ubashiri kuondoka na ushindi leo hii. Wewe beti yako unaiweka wapi leo hii ikupatie mzigo wa maana?. 3.35 kwa 2.18 ndio ODDS za mechi hii. Suka mkeka hapa.