Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Agosti, 25
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi, baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025.