Umati mkubwa wa wananchi unaendelea kufurika katika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam tayari kumsikilizia Mgonbea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chaka cha Mapinduzi CCM na Mgombea Mwenza Dkt. Emanuel John Nchimbi ambao pamoja na kubutubia mkutano huo pia watatamulishwa rasmi kwa wananchi wa Dar es Salaam.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Chid Benz akitumbuiza katika unesho LA utangulizi kwenye uzinduzi wa mkutano huo wa kampeni unaofanyika Vienna via Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar el Salaam.
PICHA NA JOHN BUKUKU- KAWE