Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Ghana nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Damptey Bediako Asare, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimkabidhi zawadi Balozi wa Jamhuri ya Ghana nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Damptey Bediako Asare, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Ghana nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Damptey Bediako Asare, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29 Agosti 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Ghana nchini Tanzania anayemaliza muda wake Mhe. Damptey Bediako Asare, mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 29 Agosti 2025.