Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akisisitiza Jambo wakati akitoa Hotuba ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Baadhi ya Wageni Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Umeme la Zanzibar (ZECO) waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Muakilishi kutoka Benki ya Dunia Dr,Rhoda Jordan akitoa hotuba katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Maji Nishati na Madini Joseph Kilangi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Waziri wa Maji Nishati na Madnini Shaib Hassan Kaduara akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaib Hassan Kaduara akitoa hotuba na kumkaribisha Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Sera ya Nishati ya Zanzibar aliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akipokea Vitabu vya Sera ya Nishati ya Zanzibar kutoka kwa Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaib Hassan Kaduara katika hafla ya Uzinduzi wa Sera hio uliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akiwa pamoja na Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaib Hassan Kaduara wakionesha Vitabu vya Sera ya Nishati ya Zanzibar katika hafla ya Uzinduzi wa Sera hio uliofanyika katika Ukumbi wa Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar. (PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.11/09/2025)