๐๐ช๐ฉ๐ค๐ ๐๐ ๐๐ฃ๐๐ช๐๐ ๐ซ๐๐จ๐๐ฌ๐๐ฃ๐ ๐๐๐ฃ๐ฏ๐๐๐๐ง
Mgombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป akisaini Kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo pamoja na kumfariji Mama Siti Mwinyi pamoja na familia ya hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi wakati alipofika Bweleo Wilaya ya Magharibi B, Mkoa wa Mjini Unguja kwaajili ya kuifariji familia hiyo kufuatia kifo cha Kaka yao Hayati Abass Ali Mwinyi, leo Ijumaa Septemba 26, 2025.
ย