Leo Yangasc wamefanya mazoezi kwenye uwanja wa KMC COMPLEX kujiandaa na ligi kuu soka Tanzania ni mashindano mbalimbali ambayo wanashiriki
Taarifa ambayo watu wengi awakutegemea ni mwalimu mkuu wa kikosi hicho Romain Folz kuendelea kuongoza kikosi hicho
Romain folz bado yupo yupo sana.