Huu ni mwezi wa hela tu ukiwa na Meridianbet basi umechagua kushinda kila siku. Cheza mchezo wa Kasino ya Mtandaoni wa Win&Go bila hofu yeyote ya kupoteza na endapo itatokea umepoteza tiketi yako unapatiwa rejesho la 10% ya pesa yako. Jisajili na Meridianbet ufurahie bonasi hii.
Meridianbet imekuwa ikitoa bonasi kibao kama mizunguko ya bure, Bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya, na promosheni kila kukicha, na sasa wamewakumbuka wapenzi wa Win&Go kwa kuja na promosheni hii kubwa na ya kibabe kabisa.
Katika mchezo huu, mchezaji huchagua kati ya namba 6 hadi 10 kutoka kwenye jumla ya namba 48, kisha namba 35 huchaguliwa kwa kila raundi na mfumo. Huku ushindi ukiamuliwa kulingana na ni namba ngapi kati ya ulizochagua zinaonekana kwenye droo.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Tofauti kuu ya Win&Go na michezo mingine ni uwepo wa “gift positions”, nafasi maalum ambayo inaweza kuwa kama vile namba 12 au 23 kwenye droo. Kama moja ya namba zako itaangukia kwenye nafasi hizo, dau lako linarejeshwa hata kama hukushinda. Ikiwa namba zako mbili kati ya zile ulizoweka zitaangukia kwenye nafasi hizo, basi utalipwa mara nne ya dau lako.
Katika promosheni hii, asilimia 10% ya dau lilopotea itarudishwa kwa mchezaji kwa mfumo wa bonus ambayo itakua kuanzia TZS 1000 mpaka kufikia TZS 15,000 kwa kila siku. Yaani, endapo mchezaji atapoteza TZS 10,000 leo basi atarudishiwa 10% ya pesa hiyo huku kiwango cha juu cha pesa inayorudishwa kama bonus ikiwa ni TZS 15,000 sawa na mchezaji aliyeweka dau la TZS 150,000.
Bonus hii ni fursa kwa wachezaji wote kwani inakupa nguvu ya kurudi mchezoni kesho baada ya kuwa na siku mbaya leo hata kama utakua umeishiwa mtaji au upo na dau dogo basi bonus hizi zitakubeba sana kwenye mchezo wa siku inayofuata.
Jisajili sasa na meridianbet na ushiriki mchezo huu pendwa kwa wengi wa Win&Go kisha uanze kuvuna sehemu ya bonasi hizi nzuru na za kuvutia kutoka kwa kampuni hii namba moja kwa michezo ya bahati nasibu nchini Tanzania.
The post PATA 10% MONEY BACK UKICHEZA WIN&GO CASINO NDANI YA MERIDIANBET…. appeared first on Soka La Bongo.