Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya Picha alipozuru Kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya Tano Hayati Dkt, John Pombe Magufuli Chato Mkoani Geita akiwa kwenye Kampeni za uchaguzi Mkuu leo October 13,2025.

13/10/2025
0 Comment
4 Views
DK.SAMIA AKIWA KATIKA PICHA TOFAUTI ALIPOZURU KABURI LA HAYATI DK.MAGUFULI
by 4dmin