

Wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa Wikendi hii ipo kwaajili ya kuhakikisha hawakuachi patupu. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi za leo hivyo bashiri sasa.
SERIE A kule Italia itaendelea ambapo AS Roma atasafiri kukipiga dhidi ya Cremonese ambao wapo nafasi ya 11 hadi sasa. Mgeni yeye yupo nafasi ya 2 akiwa pointi sawa na kinara wa ligi tofauti yao ikiwa ni magoli ya kufunga na kufungwa. Machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii?. Beti sasa.
Lazio baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa numbani kusaka ushindi dhidi ya US Lecce ambao wao walitoa suluhu mechi yao iliyopita. Kwahiyo sasa kutokana na matokeo ya nyuma, kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Je wewe pesa yako unaiweka kwa nani leo?. Bashiri sasa.
Na mechi ya mwisho Italia itakuwa ni San Siro Derby kati ya Inter Milan vs AC Milan ambapo mara ya mwisho kukutana, AC Milan aliondoka na ushindi lakini ilikuwa kwenye Kombe la Italia. Hii ni ligi na kila mmoja anahitaji ushindi. Je nani kuibuka mbabe siku ya leo?. Jisajili hapa.
Ushindi mkubwa upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Pia kule Ufaransa LIGUE 1 kutakuwa na mechi za kubashiri, Brest atakuwa kibaruani kukiwasha dhidi ya Metz ambao wanashika nafasi ya 14 huku mwenyeji wake akiwa nafasi ya 15. Tofauti yao hadi sasa ni pointi 1 pekee. Suk jamvi hapa.
Lorient yeye atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Nantes ambao walitoka sare huku mgeni wao wakitoa sare pia. Ushindi wa pointi 3 ni muhimu kwa hawa woe wawili kwani mechi zo za nyuma walishinda kushinda. Je nani unampa pesa yako akupe pesa?. Tengeneza jamvi hapa.
Hapo baadae kabisa Lille atamenyana dhidi ya Paris FC ambao hadi sasa wanashika nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 5. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi mbili hazijawahi kukutana kwenye michuano yoyote hii ndio mara ya kwanza. Je nani kuibuka mbabe mbele ya mwenzake?. Bashiri hapa.
EPL kule Uingereza itaendelea ambapo kutakuwa na mechi mbili pekee Aston Villa atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Leeds United ambao wapo nafasi ya 16 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 6. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili ilikuwa Unai aliondoka na ushindi wake. Bashiri hapa.
Pia mechi nyingine ni hii ya Arsenal vs Tottenham Spurs ambao hii ni Dabi ya London. Vijana wa Arteta ndio vinara wa ligi hadi sasa wakiwa mbele kwa pointi 4 kwa anayefuata hivyo ushindi huu ni muhimu sana kwake. Mara ya mwisho Spurs kushinda mbele ya The Gunners ilikuwa ni 2022. Je leo hii nani kushinda?. Jisajili hapa.
Vilevile ligi kuu ya Hispania, LALIGA itaendelea ambapo Real Betis atakipiga dhidi ya Girona ambao wana pointi 10 hadi sasa huku wenyeji wao wakiwa na pointi 20. Betis ameshinda mechi 5 huku mgeni yeye akishinda mechi zake 2. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Beti hapa.
Nae Getafe ataumana dhidi ya Atletico Madrid ambao wapo nafasi ya 4 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa ni 8 pekee huku kila timu ikitaka kupata ushindi mnono kabisa siku ya leo. Je beti yako unaiweka kwa nani?. Tandika jamvi hapa.
Vinara wa ligi Real Madrid watakuwa ugenini kucheza dhidi ya Elche, mechi ya mwisho ya vijana hawa wa Alonso walitoa suluhu hivyo ushindi huu ni muhimu sana kwao kwaajili ya mbio za ubingwa. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Suka jamvi hapa.






