

Ni Meridianbet pekee ndipo unaweza ukabeti mechi za ligi zote na kuibuka bingwa leo. Jumatatu ya ushindi inaanzia kwako huku machaguo zaidi ya 1000 yakiwa yanakungoja wewe. Jisajili na ubeti sasa.
Uturuki SUPER LIG itaendelea pia Konyaspor atakipiga dhidi ya Antalyspor ambao wapo nafasi ya 13, huku wenyeji wake wakiwa nafasi ya 9. Kila timu inahitaji ushindi kusogea nafasi za juu kwenye ligi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Bashiri hapa.
Nao Instanbul Basaksehir watakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Trabzonspor ambao mechi yao iliyopita, walitoa sare huku wenyeji wao wakichezea kipigo, hivyo mechi hii ni muhimu sana kwao wakiwa nyumbani kupata ushindi. Je nani unampa ushindi leo?. Tengeneza jamvi hapa.
Pesa nyingi zipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
LALIGA pia kuna mechi ya pesa kati ya Espanyol Barcelona dhidi ya Sevilla ambao mechi yao iliyopita walishinda, huku wenyeji wao wakipoteza mechi hiyo. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, walitoa sare hivyo leo hii kila timu inahitaji ushindi mkubwa kabisa. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Suka jamvi hapa.
EPL kule Uingereza kati ya Manchester United vs Everton huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 3 pekee. Mara ya mwisho kukutana, walitoa sare. Meridianbet imeweka ODDS KUBWA kwenye mechi hii. Bashiri hapa.
Pia kule Italia, SERIE A kuna mechi mbili za pesa Torino ataumana dhidi ya Como 1907 ambao mpaka sasa kwenye mechi 11 walizocheza wamekusanya pointi 18 huku wenyeji wao wakikusanya pointi 14 pekee. Kila timu inahitaji ushindi wa pointi 3 leo. Je beti yako unaiweka kwa nani leo?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Sassuolo dhidi ya Pisa huku tawkimu zikionesha kuwa mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni kule walipokuwa wakicheza SERIE B. Pointi 6 ndio tofauti yao huku nafasi ya wewe kuondoka na ushindi ikiwa wazi kabisa kwa wababe hawa wa ubashiri Tanzania. Pesa yako unaiweka kwa nani leo?. Jisajili hapa.






