Mwezi wa Disemba unaendelea kwa kishindo kupitia promosheni ya Disemba Kibozemba ya WasafiBet, ambapo washindi wa wiki ya kwanza tayari wamepatikana na zawadi kuanza kutolewa rasmi.
Kupitia promosheni hii, wateja wa WasafiBet wanaoshiriki kubashiri michezo kwa dau la kuanzia TSh 2,000 au zaidi wanaingia moja kwa moja kwenye droo za kila siku, kila wiki na droo kuu ya mwisho ya mwezi.
Wiki ya kwanza imeshuhudia ushindi wa bonasi za kila siku, simu janja, pamoja na Smart TV ya inch 75, huku safari ya kukabidhi zawadi ikifanyika hadi mikoani.
Adam Sulemani – Kisaki, Morogoro (Mshindi wa TV 75”)
WasafiBet ilisafiri hadi Morogoro, kukabidhi Smart TV ya inch 75 kwa mshindi wa wiki, Adam Sulemani, kupitia kituo cha Abood FM & TV.
Akizungumza baada ya kupokea zawadi yake, Adam alisema:
“Walinipigia simu wakaniambia ‘bwana wewe umeshinda, wewe ndio mshindi wetu wa wiki.’ Kwa kweli sikuamini. Mimi mwenyewe nilikuwa sidhani kama mambo haya yanawezekana, lakini leo nimeshinda TV kubwa kabisa.”
Adam alisisitiza kuwa WasafiBet haibagui wachezaji, bila kujali wamekaa muda gani kwenye mfumo.
“Mimi nimetoka kijijini kabisa, Kisaki – Morogoro. Nimejiunga wiki mbili tu zilizopita, lakini nimeingia kwenye promosheni na nikashinda. Hawa jamaa hawabagui, mtu yeyote anaweza kushinda.”
Maganga Ndaro – Kwimba, Mwanza (Mshindi wa Simu Janja)
Kutoka Kwimba – Mwanza, Maganga Ndaro ni miongoni mwa washindi wa simu janja kupitia droo ya Disemba Kibozemba.
Kwa mshangao na furaha, Maganga alisema:
“Nilidhani ni ujumbe wa kawaida, lakini waliponipigia simu wakaniambia nimeshinda simu, nilifurahi sana. Hii imenipa imani kubwa na WasafiBet.”
Maganga alihimiza wachezaji wengine wasikate tamaa:
“Hakuna siri, cheza tu kwa kufuata masharti. Ukibet zaidi unaongeza nafasi ya kushinda. Mimi nimejionea.”
Stanley – Kigamboni, Dar es Salaam (Mshindi wa Simu Janja)
Dar es Salaam pia haikubaki nyuma. Stanley kutoka Kigamboni aliibuka mshindi wa simu janja kupitia promosheni hiyo.
Stanley alisema:
“WasafiBet wameonyesha uwazi. Niliingia kwenye droo bila kujua, halafu nikapigiwa simu nikatangaziwa ushindi. Hii imeniongezea hamasa ya kuendelea kucheza.”
Aliongeza kuwa promosheni ya Disemba Kibozemba ni rahisi kuelewa na kushiriki:
“Unabet tu kama kawaida, hakuna form wala usumbufu. Ukifuzu, unaingia kwenye droo.”
Disemba Kibozemba Inaendelea
WasafiBet imethibitisha kuwa promosheni ya Disemba Kibozemba itaendelea mpaka mwisho wa mwezi, huku zawadi kubwa zaidi zikiendelea kutolewa, ikiwemo:
-
Bonus za kila siku
-
Simu janja na TV za kisasa
-
Bajaj mpyakama zawadi kuu
Washindi wote wanapigiwa simu rasmi na WasafiBet,
Jinsi ya Kushiriki Disemba Kibozemba
-
Pakua app ya WasafiBet au tembeleawasafibet.co.tz
-
Weka dau la TSh 2,000 au zaidi kwenye Sportsbook
-
Unafuzu kuingia kwenye droo za kila siku, kila wiki na droo kuu
-
Kadri unavyobet zaidi, ndivyo nafasi yako ya kushinda inavyoongezeka
-
Au piga *149*48# kubashiri bila internet (bure kwa watumiaji wa Yas)
Disemba Kibozemba sio hadithi, ni ushindi halisi.
Kutoka vijijini hadi mijini, WasafiBet inaendelea kuthibitisha kuwa kila mwekezaji ana nafasi ya kushinda.
Ushindi unaendelea…
The post JINSI YA KUSHINDA TV NA BAJAJI KUPITIA WASAFIBET appeared first on Soka La Bongo.





