

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Amani Abeid Karume, katika makazi yake yaliyopo Unguja, Zanzibar leo, Januari 3, 2026.
Ziara hiyo imekuwa sehemu ya kuonesha mshikamano, heshima na kutambua mchango wa Rais Mstaafu Karume katika uongozi na maendeleo ya Taifa.

The post Makamu wa Rais Nchimbi Amtembelea Rais Mstaafu Amani Karume Zanzibar appeared first on Global Publishers.





