DAR ES SALAAM; Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limesema litaendelea kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kusimamia na kutetea haki, maslahi na ustawi wa wanachama wake, kwa lengo la kuhakikisha mazingira bora ya kazi, mishahara stahiki na heshima kwa wafanyakazi nchini vinaimarishwa. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam Febuari 25 na Saidi






