DODOMA: Wizara ya Afya imetoa tahadhari kuhusu ongezeko la visa vya magonjwa ya mfumo wa kupumua kama maambukizi ya mafua makali, kipindupindu na COVID-19. Taarifa iliyotolewa leo jiji Dodoma na Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Grace Maghembe imeeleza kuwa magonjwa yanaibuka kipindi cha Novemba na Aprili. Amesema magonjwa yote huambukizwa kupitia njia ya kukohoa, kupiga






