MUONEKANO wa moja ya Boti 3 za Kusafirisha Wangonjwa “Ambulance Boat” zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzinduzi huo uliyofanyika lkatika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika moja ya Boti za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” baada ya kuzizindua leo 19-2-2025 katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.