Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni
Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC Organ akishiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama
ya Jumuiya hiyi (SADC Organ) kwa njia ya
mtandao, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 06 Machi, 2025. Mkutano huo
umejadili masuala ya hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo.