
Nsindo ambaye ni mdau wa michezo, amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kata Buyuni, jijini Dar es Salaam leo.
Dirisha la utoajia wa fomu Kwa wanachama ndani ya CCM kuomba kuteuliwa kugombea nafasi za ubunge na udiwani lilifunguliww Juni 28 na litafungwa kesho, huku akishuhudiwa idadi kubwa ya wanachama kujitokeza.