Hadithi ya Bi. Agnes ni kioo cha maisha ya kina mama wengi waliopitia mateso ya ndoa. Aliolewa akiwa msichana mdogo, akiamini kuwa ndoa ndiyo itakayompa furaha ya kudumu. Hata hivyo, mambo hayakuwa kama alivyotarajia. Mume wake alianza kumtendea vibaya miaka michache tu baada ya ndoa. Alimdharau, akawa anamnyanyasa kimwili na hata maneno makali kila siku……. SOMA ZAIDI