Katika kijiji kimoja kilichoko Nyeri, simulizi ya familia moja imeibua mshangao mkubwa. Kwa miaka mingi, kila mtoto wa familia hiyo alifikia utu uzima lakini hakuwahi kupata mwenzi wa ndoa. Vijana walikuwa wakikataliwa kila mara, huku wasichana wakipata wachumba wanaojitokeza na kisha ghafla kutoweka bila maelezo yoyote. Watu wengi walikuwa wakinong’ona kwamba familia hiyo ilikuwa na……… SOMA ZAIDI