
Baada ya kipindi kirefu cha kusubiri, Street University imerudi tena kwa kishindo kikubwa!
Mwasisi wake, Eric James Shigongo, amewaalika vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu kushiriki katika kongamano maalum litakalowasha moto wa fikra, ubunifu na uthubutu jijini Mwanza.
Tarehe na Mahali
Rock City Mall, Mwanza
Jumamosi, 18 Oktoba 2025
Kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi saa 7:00 mchana