
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua na kuhutubia Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tarehe 14, Novemba, 2025, Bungeni mkoani Dodoma. Katika hotuba yake iliyoanza kwa kutambua matukio na machafuko yaliyotukia nchini Tanzania.
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan pia alielezea kwa namna gani mabadiliko yaliyoahidiwa yalifanyiwa kazi katika maeneo mbalimbali kabla, ndani na baada ya uchaguzi mkuu. Karibu kupata video kamili ya ufunguzi huu wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungani wa Tanzania hapa chini.






