Klabu ya Simba imeondolewa katika kinyang’anyiro cha kuwania Tuzo ya Klabu Bora Afrika ambapo CAF imetangaza timu tatu zilizoingia fainali ya kuwania tuzo hiyo.
Klabu zilizoingia fainali ni Pyramid(Misri), RS Berkane( Morocco) na Mamelodi Sundown(Afrika Kusini)
The post Klabu Hizi Zaingia Tatu Bora Tuzo ya Klabu Bora Afrika Tuzo za CAF…Simba Out appeared first on SOKA TANZANIA.




