0 Comment
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, imeshiriki katika Mkutano maalumu wa Majadiliano ya Kimkakati ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050. Mkutano huo umefanyika tarehe 28 Februari, 2025 Jijini Dodoma. Mkutano huo uliwahusisha Mawaziri kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi mbalimbali hapa nchini. Waziri wa... Read More