Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dismas Nsindo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Kuwania Udiwani WA Kata ya Buyuni, wilayani Ilala, mkoani Dar es salaam. Read More
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mjumbe wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani Balozi Susanne Wusan-Rainer kando ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) Sevilla,Hispania. Read More
Picha ya wanawake wa kiislam wakiwa tayari kwa ajili ya kumsalimia mgeni rasmi katika kongamano la kumpongeza rais Na. Mwandishi wetu, Katavi. Jumuiya ya Wanawake wa Kiislam (T) mkoa wa Katavi imefanya kongamano la kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa uongozi bora kwa kipindi cha miaka minne.... Read More
Aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Kituo cha Afya Endagwe wilayani Babati, Mohamed Twalib Baya, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, kujibu mashtaka ya rushwa, uhujumu uchumi na kughushi nyaraka. Read More
Aliyekuwa mkurugenzi wa Younglife International kanda ya Tanzania mhandisi Costantino Victor Mtweve amechukua fomu ya kuwania ubunge wilaya ya Ludewa kwa tiketi ya chama cha mapinduzi . Baada ya kuchukua amesema mbali na kutafuta muarobaini wa changamoto za Ludewa lakini amesema kundi la vijana na wanawake na changamoto zao zitatazamwa kwa jicho la tatu. Kuhusu... Read More
Nkanwa Magina Meneja Uendeshaji Bodi ya Bima ya Amana akitoa maelezo kwa wageni mbalimbali waliotembelea banda la taasisi hiyo Leo Juni 30, 2025 katika maomesho ya 49 ya biashara ya kimataifa Sabasaba yanayoandaliwa na TANTRADE na kufanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa jinini Dar es Salaam Bodi ya Bima ya Amana... Read More
Profesa Erasto Mbughi Naibu Makamu Mkuu wa Chuo cha MUHAS mipango, Fedha na Utawala akipata maelezo kutoka kwa washirimi kutoka votengo mbalimbali wakati alipotembelea banda la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili MUHAS katika maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar... Read More
Na Philipo Hassan – Hifadhi ya Taifa Mikumi Kamishna wa Uhifadhi Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), CPA (T) Musa Nassoro Kuji, amewaelekeza Maafisa na Askari Uhifadhi wa Hifadhi ya Taifa Mikumi kuimarisha utendaji kazi na kuwajibika ipasavyo ili kuimarisha ulinzi wa maliasili zilizopo ndani ya hifadhi kwa ajili ya manufaa kwa kizazi kilichopo... Read More
📌REA kuendela kuwajengea uwezo Magereza uendelezaji Miradi ya Nishati Safi 📌Mhe. Balozi Radhia Msuya amewahamasisha Maafisa na Watumishi wa Magereza kuwa Mabalozi wa Nishati Safi Serikali imesambaza kwa Watumishi wa Jeshi la Magereza (Gereza la Ukonga) mitungi ya gesi ya kilogramu 15 pamoja na majiko yake 464 ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia... Read More
MKURUGENZI wa Shirika lisilo la kiserikali la Foundation for Disability Hope FDH Maiko Salali, ameingia rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Jimbo la Mpwapwa katika uchaguzi ujao. Salali alichukua fomu hiyo leo katika ofisi ya CCM Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma, mbele... Read More