0 Comment
Na John Walter -Babati Kampuni ya Mati Super Brands Ltd imekutana na Benki ya NMB katika mechi ya kirafiki ya mpira wa miguu iliyochezwa kwenye uwanja wa Shule ya Sekondari Singe, Mjini Babati. Mkurugenzi wa Mati Super Brands Ltd, Bw. David Mulokozi, ambaye pia alishiriki katika mchezo huo, amesema lengo kuu la mechi hiyo ni... Read More











