Kikosi cha wachezaji wa timu ya Taifa ya soka ya Morocco kimewasili Dar es Salaam kwa maandalizi ya mchezo wa robo fainali ya CHAN 2024 dhidi ya ‘Taifa Stars’.
Read More
Mohammed Bajaber ametafakari juu ya kupanda kwake katika soka huku akiwapongeza kaka zake kwa kumpa motisha na kuwashawishi wazazi wao kumuacha aendelee na mchezo huo kwa umakini. Read More
Vipindi vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai 25 mwaka huu katika king’amuzi cha Startimes Tanzania kupitia Chaneli yake ya ST Swahili lengo likiwa kuwapa nafasi Watanzania kuona matukio mbalimbali katika Miss Universe nchini. Read More
Rais wa Heshima na Mwekezaji wa Simba SC, Mohammed Dewji (Mo Dewji) amethibitisha kuwa kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024 ametumia zaidi ya Shilingi Bilioni 80 (Tsh. 87 B) kwenye masuala mbalimbali kwa ajili ya Klabu hiyo. Read More
Mabondia Kassim Mbundwike na Ezra Paulo wamefanikiwa kushinda mapambano yao ya fainali za President Cup nchini Comoros usiku wa kuamkia leo na kushinda medali za Dhahabu, simu janja na vikombe vya uchezaji bora. Read More
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuimarisha mazingira bora na wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kukuza uchumi wa Taifa kupitia sekta mbalimbali, hususan sekta ya utalii. Read More
Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya kihistoria ya zaidi ya kilomita 1,500 kwa muda wa takribani siku 11 kutoka jijini Dar es Salaam mpaka mji wa Butiama. Read More