Wikiendi hii wapinzani wakubwa hapa Tanzania wanamenyana kwenye Ligi Kuu ya NBC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa huku timu hizo zikitofautiana kwa pointi moja pekee. Read More
RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza UVCCM kwa kufanya matembezi toka Butiama hadi jijini Mwanza kuadhimisha miaka 25 ya kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere Read More
Sitoshangaa Pamba kuwafunga Yanga au kupata hata sare dhidi ya Pamba Kwasababu Pamba wameahidiwa kila goli moja ambalo watafunga watapata shilling Million sita na hiyo itaenda kuamsha morali kwa wachezaji na bench la ufundi kucheza vizuri dhidi ya Yanga ili kupata hata sare au ushindi” Anasema Alex Ngereza