Wikiendi hii wapinzani wakubwa hapa Tanzania wanamenyana kwenye Ligi Kuu ya NBC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa huku timu hizo zikitofautiana kwa pointi moja pekee. Read More
RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza UVCCM kwa kufanya matembezi toka Butiama hadi jijini Mwanza kuadhimisha miaka 25 ya kumbukizi ya Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere Read More