0 Comment
Kiungo mahiri wa Azam FC, Feisal Salum almaarufu kama Fei Toto, ameonyesha wazi dhamira yake ya kujiunga na klabu ya Simba SC baada ya kukubaliana mdomo na uongozi wa Wekundu wa Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili. Taarifa hizo zimedokezwa na chanzo cha karibu kupitia ukurasa wa Instagram wa mickyjnrofficial, ambapo imebainishwa kuwa mchezaji huyo... Read More