0 Comment
MASHINDANO ya Gofu kwa ajili ya kumuenzi mchezaji wa zamanı wa timu ya taifa ya wanawake ya gofu, marehemu Lina Nkya msimu wa nne yameanza kurindima rasmi leo katika Viwanja vya Lugalo Gofu jijini Dar es Saaalm. Jumla ya wachezaji 150 wakiwemo 68 wa kulipwa na chipukizi na 82 wachezaji wasindikizaji wamesajiliwa kushiriki mashindano... Read More











