Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda, akiwa katika halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi. Read More
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA AKINAMAMA 100 wajawazito wilayani Nyamagana, Jijibla Mwanaz wamenufaika na msaada wa vifaa vya uzazi vyenye thamani ya shilingi milioni 5, vilivyotolewa na The Desk & Chair Foundation. Msaada huu unajumuisha pia ujenzi wa shimo la kisasa la kuhifadhi kondo la nyuma (placenta pit) katika Kituo cha Afya Makongoro, lililogharimu shilingi... Read More
Afisa Elimu mwandamizi wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania, Bi. Anna Sonelo akizungumzia umuhimu wa warsha maalum iliyoandaliwa na Kitengo cha Elimu cha Makumbusho ya Taifa kwa kushirikiana na Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari kanda ya Dar es Salaam (TAHOSSA) iliyofanyika katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam... Read More
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali John Jacob Mkunda amefanya Ziara ya Kikazi nchini Msumbiji kuanzia tarehe 23 hadi 27 Septemba, 2024. Wakati wa ziara hiyo, pamoja na masuala mengine, Jenerali Mkunda alitembelea Ubalozi wa Tanzania uliopo Jijini Maputo tarehe 24 Septemba, 2024 na tarehe 25 Septemba, 2024 alishiriki kwenye Maadhimisho ya Miaka 60... Read More
Na. Dennis Gondwe, DODOMA WANANCHI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameshauriwa kujitokeza kwa wingi siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 27 Novemba, 2024 ili kuchagua viongozi bora. Kauli hiyo ilitolewa na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko alipokuwa akitoa Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka... Read More
Mbunge wa Jimbo la Kavuu katika halmashauri ya Mpimbwe mkoa wa Katavi na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda akizungumza wakati wa Kikao cha Halmashauri ya CCM kata ya Majimoto wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi tarehe 26 septemba 2024 katika Shule ya Msingi Majimoto. Sehemu ya wana CCM... Read More
NA BALTAZAR MASHAKA, MWANZA AKINAMAMA 100 wajawazito wilayani Nyamagana, Jijibla Mwanaz wamenufaika na msaada wa vifaa vya uzazi vyenye thamani ya shilingi milioni 5, vilivyotolewa na The Desk & Chair Foundation. Msaada huu unajumuisha pia ujenzi wa shimo la kisasa la kuhifadhi kondo la nyuma (placenta pit) katika Kituo cha Afya Makongoro, lililogharimu shilingi milioni... Read More
Meneja wa Kiwanda cha East Africa Conveyor Supplies Limited (EACS) Mhandisi John Kubini (kulia) akionesha vipuli vilivyotengenezwa katika kiwanda cha EACS kilichopo Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Kisasa kinachozalisha Vipuli vya Mitambo cha East Africa Conveyor Supplies Limited (EACS), Peter Andrew Kumalilwa ameishukuru Serikali ya Awamu ya... Read More
Taasisi isiyo ya kiserikali ya LALJI FOUNDATION imetoa msaada wa madawati 100 kwa shule za msingi 2 Wilayani Kisarawe ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha mazingira ya sekta ya elimu nchini. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi madawati hayo kwa shule za msingi Msanga na Bembeza makamu Mwenyekiti taasisi ya LALJI... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2024 first appeared on Millard Ayo.