0 Comment
Na WAF – Ruvuma Imetajwa kuwa maambukizi mapya ya Virusi Vya UKIMWI yamepungua kwa asilimia 0.7 kutoka asilimia 5.6 mwaka 2017 hadi kufikia asilimia 4.9 mwaka 2022. Hayo yamesemwa leo Novemba 25, 2024 na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed wakati akifungua wiki ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ambayo kitaifa... Read More