0 Comment
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama, imefanikiwa kukamata kilo 2,207.56 za dawa za kulevya na dawa tiba zenye asili ya kulevya katika operesheni zilizofanyika mikoa ya Tanga na Dar es Salaam. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, amesema operesheni hizo zimepelekea kukamatwa kwa watuhumiwa... Read More