0 Comment
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani S. Jafo leo tarehe 31 Oktoba 2024 amemuwakilisha Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Soko Huru la Kusina na mashariki mwa Africa(COMESA). Mkutano huo umefanyika katika Jiji la Bujumbura nchini Burundi ukilenga kuimarisha Mtengamano wa kikanda kupitia kuongeza thamani kwa kilimo... Read More