Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amejiandikisha katika daftari hilo Mtaa wa Mjimwema Manispaa ya Songea Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali pamoja na waumini wa Kanisa Katoliki kwenye Ibada ya Misa Takatifu ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mtakatifu Fransisko Ksaveri- Nyakahoja Jijini Mwanza Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu hatua mbalimbali za upokeaji na uuzaji wa madini ya dhahabu katika Soko Kuu la Dhahabu Geita. Read More
Rais Samia amechangia shilingi milioni 50 kuchangia ujenzi wa shule ya msingi na umaliziaji wa majengo ya zahanati inayomilikiwa na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania – BAKWATA mkoa wa Simiyu. Read More
Muungano wa nchi 104 wanachama wa Umoja wa Mataifa, pamoja na Umoja wa Afrika, umelaani uamuzi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kumtangaza Katibu Mkuu Antonio Guterres “kuwa mtu asiyetakikana.” Read More
Shirika la Umeme Tanzania Tanesco limewasha umeme na kugawa mitungi ya gesi kwa akina mama wajasiliamali katika Kijiji cha Nnyanungu Wilayani Serengeti Mkoani mara Read More