Wasanii wamesisitizwa kuandaa kazi zenye kuzingatia maadili, uadirifu, uzalendo, uelimishaji na ukosoaji kwa jamii katika kazi zao za sanaa wanazozifanya Rai hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Ilemela Mhe Dkt Angeline Mabula wakati wa kikao chake na wasanii wa wilaya ya Ilemela kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za CCM kata ya Buswelu... Read More