0 Comment
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani katika maendeleo ya nchi kupitia miradi na program mbalimbali zinazofadhiliwa na nchi hiyo, ukiwemo Mkataba wa Msaada wa dola za Marekani bilioni 1.14, uliosainiwa hivi karibuni kwa ajili kuendeleza sekta mbalimbali.... Read More