0 Comment
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesisitiza umuhimu wa kuangazia maeneo yenye tija kwa maendeleo ya pamoja kati ya Tanzania na Angola, akibainisha kuwa ushirikiano wa kweli lazima ujikite kwenye maeneo yenye fursa halisi za kiuchumi, kijamii na kidiplomasia. Akizungumza jijini Luanda, Angola, mbele ya... Read More