Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Samwel Shelukindo, alikutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andrew Lentz, Kaimu Balozi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini. Read More
-Dar es Salaam, Julai 9, 2025 Katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, Tume ya Madini imeeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana kufuatia uwekaji wa uzio kuzunguka Mgodi wa Tanzanite uliopo Mirerani, mkoani Manyara. Akizungumza katika banda la Tume Mjiolojia kutoka Ofisi ya Afisa Madini Mkazi -Mirerani,... Read More
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kupitia bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025, imetoa jumla ya shilingi bilioni 16.696 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari (SEQUIP) mkoani Tanga. Kati ya fedha hizo, jumla ya shilingi bilioni 4.450 zimetolewa kwa ajili ya... Read More
-Viwanja vya Mwalimu J. K. Nyerere, Dar es Salaam Meneja wa Huduma za Maabara wa Tume ya Madini, Mhandisi Mvunilwa Mwarabu, ameendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na maabara ya Tume katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba (DITF). Huduma hizo ni pamoja na uchambuzi wa sampuli za madini... Read More
Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa (wa pili kutoka kulia) akikabidhi hundi ya msaada wa shilingi milioni 20 kwa viongozi wa kikundi cha Busindi Asali zilizotolewa na Taasisi ya kimataifa ya Nos Vies en Partage (NVeP) kushoto ni Mwanzilishi wa taasisi hiyo ambaye pia ni Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Barrick... Read More
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe, Mohamed Mchengerwa ameupongeza uongozi wa Shule ya Sekondari ya Kibaha kwa kuendelea kuwa na matokeo ya ufaulu mzuri huku akiwataka kutoshuka. Read More
Na Mwandishi wetu Ngorongoro. Baadhi ya watalii waliokuwa katika safari zao za kawaida kwenye eneo la hifadhi ya Ngorongoro leo jumatano tarehe 9 Julai 2025 walijikuta katika furaha baada ya kushuhudia Mwenge wa Uhuru ukiingia wilayani Karatu kutokea wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha. Watalii hao walionekana wakisimamisha magari yao ili kushuhudia namna Mwenge wa Uhuru ... Read More
Na Nihifadhi Abdulla, Zanzibar. KATIKA juhudi za kusukuma mbele mageuzi ya sheria za habari zinazotajwa kuwa kandamizi na zilizopitwa na wakati, wadau kutoka Kamati ya Kuratibu Masuala ya Habari Zanzibar (ZAMECO) leo wamekutana na baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi katika ukumbi wa TAMWA-Z uliopo Tunguu. Mkutano huu umekuwa jukwaa la wazi la kutoa... Read More
Baadhi ya Wasichana na wanawake waliowezeshwa na shirika la CAMFRED hadi kufikia ujasiliamali. Picha ya pamoja. KATIKA jamii nyingi za Kitanzania, wanawake na wasichana wamekuwa wakikumbana na changamoto za kiuchumi, kielimu, na kijamii. Hata hivyo, kupitia uwezeshaji wa shirika la CAMFED, baadhi yao sasa wamekuwa mfano wa kuigwa kwa kuleta mabadiliko chanya si tu katika... Read More
Wataalam wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Wizara ya Uchukuzi ,Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi pamoja na Halmshauri ya Wilaya ya Kilwa wakitembelea mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Mkoani Lindi Wataalamu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Mamlaka... Read More