Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe Mwanaidi Ali Khamis ametoa zawadi za Sikukuu ya Christmas na Mwaka kwa niaba ya Rais Samia katika Makazi ya wazee Zanzibar. Read More
Na WMJJWM-Dar Es Salaam Jamii imehimizwa kuwakumbuka watu wenye Mahitaji Maalum katika msimu huu wa Sikukuu kwa kuwapatia zawadi na mahitaji mbalimbali ili waweze kusheherekea kwa furaha Sikukuu za mwisho wa mwaka. Rai hiyo imetolewa Desemba 25, 2024 na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Wanawake na Makundi... Read More
Wakala wa nyota wa kimataifa wa Uhispania, Dani Olmo, aliibua utata kuhusu hatma yake na FC Barcelona, kabla ya kipindi kijacho cha msimu wa baridi wa 2025. Read More
Baadhi ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tawi la Kongowe Kibaha mkoani Pwani wakiwajulia hali watoto mapacha ambao mama yao amepata maradhi ya moyo baada ya kujifungua. ……………………………….. Na Dotto Mwaibale, Dar es Salaam WATOTO Mapacha ambao mama yao amepata changamoto ya maradhi ya moyo muda mfupi tangu alipojifungua wakazi wa Kongowe Kibaha mkoani... Read More
Bilionea Elon Musk hatimaye alipendekeza kupima uwezo wa kiakili wa maafisa waliochaguliwa ambao wataitumikia Marekani katika muhula wa rais mteule Donald Trump na wazo hilo lilikuja kufuatia maswala ya kiafya ambayo Kay Granger anakabiliwa nayo Mwanachama wa Congress na mwenyekiti wa zamani wa Kamati ya Ugawaji wa Nyumba, Kay Granger amepatikana na shida ya akili,... Read More
Takriban wafungwa 6,000 wametoroka katika gereza la juu zaidi nchini Msumbiji huku ghasia na ghasia zilizoenea baada ya uchaguzi zikiendelea kuikumba nchi hiyo, maafisa walisema Jumatano. 33 kati yao wanasemekana kufariki wakati wa makabiliano na polisi na wanajeshi. Mkuu wa polisi wa Msumbiji Bernardino Rafael alisema wafungwa 6,000 walitoka katika gereza lenye ulinzi mkali katika... Read More
Wananchi wa Kijiji cha Ngombo Wilaya ya Malinyi Mkoani Morogoro wemeiomba Serikali ya Wilaya hiyo kusitisha zoezi la kuwaondoa katika Kijiji hicho Ili kupisha hifadhi ya Pori la Akiba la Kilombero, kwani baadhi Yao bado hajalipwa fedha za fidia huku wengine wakidai kupewa muda mchache wa kuhama pamoja kushindwa kuwatengea eneo la maalum la kwenda... Read More
Mwakilishi wa Jimbo la Chwaka Mkoa kusini Unguja Mhe. Issa Ussi Gavu ambaye ni Katibu wa Oganazesheni wa CCM Taifa (MCC) ametoa zawadi mbalimbali za medali, vikombe na fedha kwa washindi walioshinda kwenye mashindano ya waendesha baiskeli, mchezo wa bao, karata, kukimbiza kuku nk. Kabla ya kuanza kwa mashindano hayo wananchi wa Jimbo hilo na... Read More
UAE imetangaza Januari 1, 2025, kuwa siku ya mapumziko kwa wafanyakazi wote, ikiwa ni pamoja na wale walio katika sekta ya kibinafsi, kama ilivyothibitishwa na Wizara ya Rasilimali Watu na Uwekezaji wa Uwekezaji (MoHRE). Tangazo hili linalingana na uamuzi wa Baraza la Mawaziri la UAE kuhusu likizo rasmi kwa wafanyikazi wa serikali na wa sekta... Read More