Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani akizungumza na washiriki wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) watakaohusika na zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye Halmashauri ya Jiji la Dodoma, mkoani Dodoma Septemba 23,2024. Mzunguko wa tano wa uboreshaji wa... Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wananchi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole, Madaba mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024. The post Rais Samia aweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole first appeared... Read More
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amechangia Millioni 100 kwaajili ya ukarabati wa bwalo la shule ya msingi ya Chief zulu na kuiagiza ofisi ya Halmashauri kuongezea Millioni Mia moja nyingine na kufikia lengo la Millioni 200 Hayo yamefanyika leo alipotembelea na kuzindua shule ya msingi ya mchepuo wa Kiingereza ya... Read More