Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika jukwaa la biashara kati ya Tanzania na Marekani, kwenye Makao Makuu ya City Bank, jijini New York, Marekani Septemba 26, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa katika meza ya mazungumzo na baadhi ya wawekezaji kwenye Makao Makuu ya City Bank, jijini New York,... Read More
Bunge la Tunisia lilipanga kupiga kura kuhusu marekebisho makubwa ya sheria ya uchaguzi siku ya Ijumaa, siku tisa kabla ya uchaguzi wa rais ambao makundi ya upinzani yanahofia kwamba yataimarisha utawala wa kimabavu wa Rais Kais Saied. Mswada huo unaiondolea Mahakama ya Utawala mamlaka yake ya kusuluhisha mizozo ya uchaguzi. Kuna uwezekano wa kupita katika... Read More
Mbunge wa Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda, akiwa katika halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi. Read More
“Leo hii Tanzania ina zaidi ya wasichana 4,500 walio katika shule maalum za wasichana zinazolenga kuwajenga wasichana katika mlengo wa Sayansi, Hisabati na TEHAMA”. Maneno haya yamenenwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Shule ya Wasichana Namtumbo na kusalimia Wananchi na Wanafunzi Mkoani Ruvuma, leo tarehe... Read More
Afisa Elimu mwandamizi wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania, Bi. Anna Sonelo akizungumzia umuhimu wa warsha maalum iliyoandaliwa na Kitengo cha Elimu cha Makumbusho ya Taifa kwa kushirikiana na Umoja wa Wakuu wa Shule za Sekondari kanda ya Dar es Salaam (TAHOSSA) iliyofanyika katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam... Read More
Taasisi isiyo ya kiserikali ya LALJI FOUNDATION imetoa msaada wa madawati 100 kwa shule za msingi 2 Wilayani Kisarawe ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali kuboresha mazingira ya sekta ya elimu nchini. Akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi madawati hayo kwa shule za msingi Msanga na Bembeza makamu Mwenyekiti taasisi ya LALJI... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 27, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2024 first appeared on Millard Ayo.